HABARI PICHA WAZIRI SIMBACHAWENE NA BALOZI DKT. WRIGHT.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,